Barcelona,Man City,Paris Saint,wajitosa kuwania saini ya VAN PERSIE
Hisia
0
KLABU ya Manchester City itaweka dau la pauni Milioni 15 kwa
ajili ya mshambuliaji wa Arsenal, Robin Van Persie, mwenye umri wa miaka
28, lakini Barcelona na Paris Saint-Germain pia zinamtaka mchezaji
huyo, ambaye amekataa kusaini mkataba mpya katika klabu yake.
Post a Comment