DITTO APATA PIGO KWA KUONDOKEWA NA BABA YAKE MZAZI
Ditto
msanii kutoka THT, usiku huu majira ya saa moja usiku ameondokewa na
baba yake mzazi anayeitwa Lambert Tido. Ditto anasema baba yake alikuwa
akisumbuliwa na Figo kwa mda mrefu hadi mauti yalipomkuta usiku huu
katika hospital ya Taifa Mwimbili
Bongo Star Link inakupa pole sana Ditto na mungu akupe nguvu nyingi kwenye kipindi hiki kigumu ulichokuwa nao.
إرسال تعليق