HISPANIA SHEREHE HADI IKULU, WAJIACHIA NA MFALME WAO
MABINGWA wa Ulaya, Hispania wamepata maokezi makubwa nyumbani mjini Madrid, wakirejea kwenye Ukraine na taji laoy.
Baada ya kuifunga Italia 4-0 mjini Kiev usiku wa Jumapili, Hispania waliondoka asubuhi ya jana kurejea nyumbani.

KARIBUNI NYUMBANI: malefu ya mashabiki katika mitaa ya Jiji la Madrid wakiilaki timu

KATIKATI: Sherehe zilifikia tamati katikati ya Jiji la Madrid, ambako wachezaji walisimama kusherehekea na mashabiki

PICHA NA MFALME: Kikosi cha Hispania katika picha ya pamoja na Mfalme wa Hispania, Juan Carlos at La Zarzuela Palace

Hispania kwenye ndege: Iker Casillas akiwa ameshikilia Kombe pembeni ya kocha wake, Vicente Del Bosque

Tabasamu tupu: Del Bosque na Casillas
HISPANI NA MATUKIO YA NAMBA
20 - Mechi za ushindani walizocheza tangu wafugwe mara ya mwsiho.
29 - Idadi ya mechi za Kombe la Ulaya walizocheza bila kufungwa, tangu wafungwe mara ya mwisho 2-0 na Sweden katika mechi za kufuzu Oktoba 2006.
8 - Idadi ya wachezaji waliocheza fainali mbili za Euro wakiibebesha taji Hispania - ambao ni Iker Casillas, Andris Iniesta, Xavi Hernandez, Fernando Torres, Cesc F`bregas, Xabi Alonso, Sergio Ramos na David Silva.
79 - Idadi ya mechi za kimataifa ambazo Casillas hakufungwa, na ameshinda mechi 100 katika ya mechi 137 alizoichezea timu yake hiyo hadi sasa.
513 - Idadi ya dakika tangu Casillas afungwe mechi ya mwisho ya Kundi C, katika sare ya 1-1 na Italia Juni 10.
189 - Idadi ya jumla ya dakika alizocheza Torres katika fainali hizi.
63 - Wastani wa dakika alizotumia Torres kufunga bao moja hadi lingine katika mabao yake matatu.
3,946 - Idadi ya pasi katika Euro 2012.
620 - Idadi ya kosa kosa za Xavi.
531 - Idadi ya mechi hizo inakamilishwa na Xavi mwenye wastani wa kugawa vyumvba kwa asilimia 86.

ITUNWE WOTE!: Pepe Reina, Santiago Cazorla, Sergio Ramos na Xabi Alonso wakifurahia toast

Wametua: Kikosini cha Hispania kikitua Madrid

MASWAHIBA: Gerard Pique (kushotot) na Andres Iniesta.

SHUJAA: Casillas na Del Bosque ndio walibeba Kombe kwenye ndege

POWA: Sergio Ramos
SHANGWE: Casillas
Habari kwa hisani ya http://bongostaz.blogspot.com/
Post a Comment