HISPANIA SHEREHE HADI IKULU, WAJIACHIA NA MFALME WAO

HISPANIA SHEREHE HADI IKULU, WAJIACHIA NA MFALME WAO

MABINGWA wa Ulaya, Hispania wamepata maokezi makubwa nyumbani mjini Madrid, wakirejea kwenye Ukraine na taji laoy. 
Baada ya kuifunga Italia 4-0 mjini Kiev usiku wa Jumapili, Hispania waliondoka asubuhi ya jana kurejea nyumbani.
Welcome home: Tens of thousands of people filled the streets of Madrid as the Spanish national team were paraded through the streets
KARIBUNI NYUMBANI: malefu ya mashabiki katika mitaa ya Jiji la Madrid wakiilaki timu
Welcome home: Tens of thousands of people filled the streets of Madrid as the Spanish national team were paraded through the streets
Welcome home: Tens of thousands of people filled the streets of Madrid as the Spanish national team were paraded through the streets
King of Cups: Prince Felipe, Princess Leonor and Princess Sofia gave the personal touch to the celebrations, while Iker Casillas and the rest of his squad were later swamped by the public
King of Cups: Prince Felipe, Princess Leonor and Princess Sofia gave the personal touch to the celebrations, while Iker Casillas and the rest of his squad were later swamped by the public
Centre stage: The procession eventually came to an end in downtown Madrid, at which point the players packed onto a stage to receive yet more adulation from the gathering crowd
KATIKATI: Sherehe zilifikia tamati katikati ya Jiji la Madrid, ambako wachezaji walisimama kusherehekea na mashabiki
Centre stage: The procession eventually came to an end in downtown Madrid, at which point the players packed onto a stage to receive yet more adulation from the gathering crowd
Centre stage: The procession eventually came to an end in downtown Madrid, at which point the players packed onto a stage to receive yet more adulation from the gathering crowd
Centre stage: The procession eventually came to an end in downtown Madrid, at which point the players packed onto a stage to receive yet more adulation from the gathering crowd
Snap: The Spanish team pose for a photo with Spanish King Juan Carlos at La Zarzuela Palace
PICHA NA MFALME: Kikosi cha Hispania katika picha ya pamoja na Mfalme wa Hispania,  Juan Carlos at La Zarzuela Palace
Spain off the plane: Iker Casillas holds the trophy alongside boss Vicente Del Bosque
Hispania kwenye ndege: Iker Casillas akiwa ameshikilia Kombe pembeni ya kocha wake, Vicente Del Bosque
All smiles: Del Bosque and Casillas enjoyed touching down in Madrid
Tabasamu tupu: Del Bosque na Casillas

HISPANI NA MATUKIO YA NAMBA

20 - Mechi za ushindani walizocheza tangu wafugwe mara ya mwsiho.
29 - Idadi ya mechi za Kombe la Ulaya walizocheza bila kufungwa, tangu wafungwe mara ya mwisho 2-0 na Sweden katika mechi za kufuzu Oktoba 2006.
8 - Idadi ya wachezaji waliocheza fainali mbili za Euro wakiibebesha taji Hispania - ambao ni Iker Casillas, Andris Iniesta, Xavi Hernandez, Fernando Torres, Cesc F`bregas, Xabi Alonso, Sergio Ramos na David Silva.
79 - Idadi ya mechi za kimataifa ambazo Casillas hakufungwa, na ameshinda mechi 100 katika ya mechi 137 alizoichezea timu yake hiyo hadi sasa.
513 - Idadi ya dakika tangu Casillas afungwe mechi ya mwisho ya Kundi C, katika sare ya 1-1 na Italia Juni 10.
189 - Idadi ya jumla ya dakika alizocheza  Torres katika fainali hizi.
63 - Wastani wa dakika alizotumia Torres kufunga bao moja hadi lingine katika mabao yake matatu.
3,946 - Idadi ya pasi katika Euro 2012.
620 - Idadi ya kosa kosa za Xavi.
531 - Idadi ya mechi hizo inakamilishwa na Xavi mwenye wastani wa kugawa vyumvba kwa asilimia 86.

I'll drink to that: Pepe Reina, Santiago Cazorla, Sergio Ramos and Xabi Alonso enjoy a toast
ITUNWE WOTE!: Pepe Reina, Santiago Cazorla, Sergio Ramos na Xabi Alonso wakifurahia  toast
Landing: The Spanish side wore shorts and t-shirts as they emerged into the Madrid heat
Wametua: Kikosini cha Hispania kikitua Madrid
Gerard Pique
Andres Iniesta (L) and Cesc Fabregas
MASWAHIBA: Gerard Pique (kushotot) na Andres Iniesta.
Hotting up: Supporters are sprayed with water as they wait for the team to arrive at Plaza Cibeles
Iker Casillas
Vicente del Bosque
SHUJAA: Casillas na Del Bosque ndio walibeba Kombe kwenye ndege
Pride: The plane taking the players back home had two national flags up front
Cool: Sergio Ramos peers through his sunglasses on the tarmac at the airport
POWA: Sergio Ramos 
Wave: Casillas was greeted by crowds as he headed into the check-in area SHANGWE: Casillas
Habari kwa hisani ya http://bongostaz.blogspot.com/

Post a Comment

أحدث أقدم