
Mwanamuziki
mashuhuri nchini Uganda Jose Chameleone akiwa nje ya jengo la Ubalozi
wa Tanzania nchini Uganda na mabango sambamba na wapambe wake
akishinikiza apatiwe passport yake ambayo anadai inashikiliwa na
Bwa.Erick Shigongo.Picha mbalimbali kama zinavyoonesha tukio hilo nje ya
jengo la Ubalozi Tanzania nchini Uganda.Picha zaidi ingia kwenye http://www.facebook.com/josechameleone





إرسال تعليق