JUVE WATENGA PAUNI MILIONI 70 KUMNASA ROBIN VAN PERSIE

JUVE WATENGA PAUNI MILIONI 70 KUMNASA ROBIN VAN PERSIE

Robin van Persie joined Arsenal in 2004KLABU ya Juventus imepanga kutumia pauni Milioni 70 kwa mshambuliaji wa Arsenal, Robin van Persie, mwenye umri wa miaka 28. Kiwango hicho kinajumuisha ada ya uhamisho na mshahara wa mchezaji huyo, lengo ni kuhakikisha wanazipiga bao Manchester United na Manchester City kuinasa saini ya Van Mabao.

Post a Comment

Previous Post Next Post