JUVE WATENGA PAUNI MILIONI 70 KUMNASA ROBIN VAN PERSIE
KLABU ya Juventus imepanga kutumia pauni Milioni 70 kwa
mshambuliaji wa Arsenal, Robin van Persie, mwenye umri wa miaka 28.
Kiwango hicho kinajumuisha ada ya uhamisho na mshahara wa mchezaji huyo,
lengo ni kuhakikisha wanazipiga bao Manchester United na Manchester
City kuinasa saini ya Van Mabao.
إرسال تعليق