KOCHA MBELGIJI YANGA TAYARI AMEWASILI DAR, TAZAMA ALIVYOPOKEWA KIFALME

KOCHA MBELGIJI YANGA TAYARI AMEWASILI DAR, TAZAMA ALIVYOPOKEWA KIFALME

Kocha mpya wa Yanga, Mbelgiji Thom Saintfiet amewasili mida hii Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam na kulakiwa na mamia ya wapenzi wa klabu hiyo. Tazama mapokezi yake tangu anatokea ndani ya Uwanja wa Ndege, hadi akiwa ndani ya gari tayari kwa safari ya Jangwani. Kwa habari zadi na Picha :- Bofya hapa







Post a Comment

أحدث أقدم