MAN UNITED YAMNASA LUCAS MOURA KWA PAUNI MILIONI 26

Lucas MouraKLABU ya Manchester United imekubali kutoa dau la pauni Milioni 26 kuinunua saini ya kinda Mbrazil, Lucas Moura, mwenye umri wa miaka 19, kutoka Sao Paulo.

Wakati huo huo
MAN United pia iko tayari kumsajili nyota wa Fulham, Moussa Dembele, mwenye umri wa miaka 25.

Post a Comment

Previous Post Next Post