KLABU ya Manchester United imekubali kutoa dau la pauni Milioni
26 kuinunua saini ya kinda Mbrazil, Lucas Moura, mwenye umri wa miaka
19, kutoka Sao Paulo.
Wakati huo huo
MAN United pia iko tayari kumsajili nyota wa Fulham, Moussa Dembele, mwenye umri wa miaka 25.
إرسال تعليق