RAIS KIKWETE AKUATANA NA MKUU WA MADHEHEBU YA SHIA ISAMAILI DUNIANI H.H. THE AGA KHAN IKULU LEO
Hisia0
RAIS KIKWETE AKUATANA NA MKUU WA MADHEHEBU YA SHIA ISAMAILI DUNIANI H.H. THE AGA KHAN IKULU LEO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa madhehebu ya Shia
Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu
jijini Dar es salaam leo Julai 18, 2012 kwa mazungumzo na baadaye
chakula cha mchana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa chakula cha mchana Mkuu wa
madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, na ujumbe wake
wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na
baadaye chakula cha mchana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia
duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es
salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia
duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es
salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana. PICHA NA IKULU
إرسال تعليق