![]() |
Mabingwa wa bara Simba Simba S.C ya Dar es Salam imetoka sare ya 1 - 1 dhidi ya Timu ya As Vita ya DRC, katika mchezo
wa mwisho wa Kundi A, Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame kwenye
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kwa matokeo hayo, Simba itakutana na Azam Fc katika Robo fainali, na Dar Young Afrika watavaana na Mafunzo ya Zanzibar

إرسال تعليق