Simba wapigwa 2 - 0 Dhidi ya URA

Kikosi kilichoanza leo
Sunzu akitafuta bao
Simba S.C leo imekubali kipigo cha goli mbili bila dhidi ya URA ya Uganda katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam. URA ilipata mabao yake kupitia kwa Owen Kasuule dakika ya 11 Feni Ally dakika ya 90+2.Katika mchezo huo, Simba ilicheza vizuri lakini tu walishindwa kutumia vizuri nafasi walizopata na mabao yote walifungwa wakitoka wao kushambulia.

Post a Comment

Previous Post Next Post