![]() |
| Kikosi kilichoanza leo |
![]() |
| Sunzu akitafuta bao |
Simba S.C leo imekubali kipigo cha goli mbili bila dhidi ya URA ya Uganda katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam. URA ilipata mabao yake kupitia kwa Owen Kasuule dakika ya 11
Feni Ally dakika ya 90+2.Katika mchezo huo, Simba ilicheza vizuri lakini tu
walishindwa kutumia vizuri nafasi walizopata na mabao yote walifungwa wakitoka wao
kushambulia.


إرسال تعليق