SIMBA YAICHAPA PORTS YA DJIBOUT GOLI 3 - 0

Mabingwa wa Tanzania Bara Simba S.C leo wameshinda goli 3 - 0 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam dhidi ya Ports katika mashindano ya kombe la Kagame. Abdallah Juma, ndiye alikuwa shujaa katika timu ya simba ambaye alifunga Magoli mawili dk 60 na 73 ambaye alitokea bechi na kuchukua nafasi ya Amri Kiemba, Na Felix Mumba Sunzu Jr. ambaye alifunga goli dk 64 kwa mkwaju wa penalti. Simba S.C imeshika nafasi ya tatu ikuwa na point 3 nyuma ya URA yenye pointi sita na AS Vita yenye pointi tatu na wastani mzuri wa mabao. Simba itamaliza na AS Vita ya DRC

Post a Comment

أحدث أقدم