THE MAKING OF "KARIAKOO" FILM

THE MAKING OF "KARIAKOO" FILM

Wapenzi wote wa filamu na Kwetu Studios tunapenda kuwafahamisha kuwa Kwetu Studios imeanza kutengeneza filamu ya vichekesho (comedy) inayoitwa "KARIAKOO". Simulizi ya Kariakoo inahusu jitihada za ERIC kuwakwepa VIBAKA wa Kariakoo waliokuwa wakimfuatilia baada ya kununua pete ya dhahabu kwa ajili ya uchumba wa kipenzi chake ANGEL. Je jitihada zake zitafua dafu kwa vibaka wazoefu wa Kariakoo?. Na je ulikuwa unajua kwamba Kariakoo inatokana na neno "Carrier Corps"? Yote tutafahamu pindi filamu itakapomalizika hivi karibuni. Filamu imeandikwa na Freddy Feruzi, na kuongozwa na Msafiri Shabani, Kherry Mondoma. Waigizaji wakuu wakiwa Eric Mlindima, Tin White Maulid Mbwana na Njegea.Chanzo:- http://kwetustudios.blogspot.com/2012/07/the-making-of-kariakoo-film.html?spref=fb
Msafiri Shabani, Director and Camera Operator wa Kariakoo Film

Msafiri Shabani akimuelekeza jambo mhusika mkuu Eric Mlindima anaeigiza kwa jina la Eric 

Msafiri Shabani akimpiga picha Mau, anaeigiza kama machinga muuza nguo na kibaka wa Kariakoo 


Post a Comment

أحدث أقدم