VAN PERSIE AIKATAA ARSENAL, MAN CITY, MAN UNITED ZAPIGANA VIKUMBO KUWANIA SAINI YAKE

NAHODHA wa Arsenal, Robin van Persie ameamua kutosaini mkataba mpya na klabu yake hiyo na kwa sababu hiyo anaweza kufuata mshahara bwa pauni 220,000 kwa wiki katika klabu bingwa England, Manchester City.
KLABU ya Manchester United nayo imeonyesha nia ya kumsajili mfungaji bora wa Ligi Kuu ya England, Robin Van Persie, Mholanzi mwenye umri wa miaka 28 na wana matumaini makubwa watamdondoshea Old Trafford.

Post a Comment

أحدث أقدم