VODACOM, NOKIA ZAINGIA KATIKA USHIRIKIANO KUPUNGUZA GHARAMA ZA SIMU

Meneja
Mkuu wa Nokia Tanzania Samson Mwajwala, akifafanua jambo kwa waandishi
wa habari (hawapo pichani) juu ya aina ya simu ya Nokia Asha 200
inayouzwa kwa shilingi 149,999 pamoja na muda wa bure wa maongezi na MB
125. Simu nyingine ya Nokia Asha 302 inauzwa kwa shilingi 219,000 wateja
watapata MB 500 kwa miezi sita mfululizo baada ya kuweka muda wa
maongezi wa Shilingi 1000, 2000, au 5000 huku huduma ya Facebook,
Twitter na Wikipedia zikiendelea kuwa bure. Katikati Mkuu wa Kitengo cha
Bidhaa wa Vodacom Tanzania Mngopelinye Kiwanga na Meneja bidhaa wa
Vodacom Elihuruma Ngowi.

Meneja
Mkuu wa Nokia Tanzania Samson Mwajwala, akionesha simu aina ya Nokia
Asha 200 inayouzwa kwa shilingi 149,999/= pamoja na muda wa bure wa
maongezi na MB 125. Simu nyingine ya Nokia Asha 302 inauzwa kwa shilingi
219,000 wateja watapata MB 500 kwa miezi sita mfululizo baada ya kuweka
muda wa maongezi wa Shilingi 1000, 2000, au 5000 huku huduma ya
Facebook, Twitter na Wikipedia zikiendelea kuwa bure. Katikati ni Mkuu
wa Kitengo cha Bidhaa wa Vodacom Tanzania Mngopelinye Kiwanga na Meneja
Bidhaa wa Vodacom Elihuruma Ngowi.

Baadhi
ya waandishi wa habari wakiwa kazini wakati wa uzinduzi wa simu aina ya
Nokia Asha 200 na Nokia Asha 203. Nokia Asha 200 inauzwa kwa shilingi
149,999 pamoja na muda wa bure wa maongezi na MB 125, wakati Nokia Asha
302 inauzwa kwa shilingi 219,000, ambapo wateja watapata MB 500 kwa
miezi sita mfululizo baada ya kuweka muda wa maongezi wa Shilingi 1000,
2000, au 5000 huku huduma ya Facebook, Twitter na Wikipedia zikiendelea
kuwa bure.

Mkuu
wa Kitengo cha Bidhaa wa Vodacom Tanzania Mngopelinye Kiwanga, akiongea
na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu aina
ya Nokia Asha 200 na Nokia Asha 203. Nokia Asha 200 inauzwa kwa
shilingi 149,999 pamoja na muda wa bure wa maongezi na MB 125, huku
Nokia Asha 302 inauzwa kwa shilingi 219,000, ambapo wateja watapata MB
500 kwa miezi sita mfululizo baada ya kuweka muda wa maongezi wa
Shilingi 1000, 2000, au 5000. Huduma ya Facebook, Twitter na Wikipedia
zinaendelea kuwa bure. Wanaoshuhudia kushoto ni Meneja Mkuu wa Nokia
Tanzania, Samson Mwajwala na kulia ni Meneja Bidhaa wa Vodacom Elihuruma
Ngowi
Post a Comment