
Pichani
kati ni Afisa Udhamini na Matukio Ibrahim Kaude akifafanua jambo kwa
ufasaha wakati wa mahojiano mafupi juu ya tamasha la Wajanja wa Vodacom.

Pichani
kulia ni Meneja wa mahusiano wa Vodacom Tanzanzania Bw.Matina Nkurlu
akitoa ufafanuzi mbalimbali kuhusiana na mambo mbalimbali yatakayojiri
kesho ndani ya uwanja wa Mkwakwani,ambako tamasha la wajanja wa Vodacom
litarindima.

Mtangazaji
wa redio ya Mwambao FM,Kikwato Jr akifafanua jambo mbele ya baadhi ya
wafanyakazi wa kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom,kuhusiana na
namna mitambo ya kituo hicho kinavyorusha matangazo yake. Anaeshuhudia
wa pili kushoto ni Afisa Udhamini na Matukio Ibrahim Kaude.


Mkuu
wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Pwani,Bw.Tilio Lupala pichani kushoto
akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha redio ya Mwambao
FM.Wanaoshuhudia ni Meneja wa mahusiano wa Vodacom Tanzanzania Bw.Matina
Nkurlu pamoja na Mtangazaji wa redio ya Mwambao FM,Kikwato Jr.
Post a Comment