walemavu wa ngozi Albino kuumana na wabunge ijumaa mjini Dodoma

walemavu wa ngozi Albino kuumana na wabunge ijumaa mjini Dodoma

Katibu wa timu ya walemavu wa ngozi albino "Albino united" Bw. Said Ndonge,kushoto akiongea na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Idara ya habari maelezo juu ya mechi yao  na wabunge itakayochezwa siku ya Ijumaa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma, katikati ni meneja wa kinywaji kisicho na kilevi Grand Malta Bi. Consolata Adam. Na wakwanza kulia ni Mwenyekiti wa Timu Ya Albino United Bw. Mohamed Kidungu

Post a Comment

أحدث أقدم