ZIARA YA VIONGOZI WA CHADEMA MKOANI SINGIDA.
Afisa
wa sera na utafiti CHADEMA Makao makuu,Waitara Mwita
Mwikwabe,akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Ndago
jimbo la Iramba Magharibi.
Mh. John Mnyika (katikati) na baadhi ya Viongozi wa CHADEMA.
Mshauri
wa CHADEMA na mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar-es-salaam Dk.Kitila Mkumbo
akisalimia wakazi wa kijiji cha Ndago jimbo la Iramba Magharibi.
Mbunge wa jimbo la Ubungo jijini Dar-es-salaam John Mnyika akihutubia wakazi wa kijiji cha Ndago jimbo la Iramba Magharibi.
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ndago jimbo la Iramba Magharibi,wakiitikia salamu ya CHADEMA ya ‘nguvu ya umma’.
Baadhi
ya askari wa FFU walioitwa kutuliza vurugu kwenye mkutano wa hadhara
ulioitishwa katika kijiji cha Ndago kwa ajili ya viongozi wa CHADEMA
kuzungumza nao.
Baadhi
ya wakazi wa kijiji cha Ndago waliohudhuria mkutano wa hadhara
ulioitishwa kwa ajili ya viongozi wa CHADEMA kuzungumza nao.
(Picha zote na Nathaniel Limu).
Kwa Hisani ya Mo Blog







إرسال تعليق