ADAM JOHNSON ATUA SUNDERLAND, FLETCHER AANZA KAZI LEO

ADAM JOHNSON ATUA SUNDERLAND, FLETCHER AANZA KAZI LEO

On the move: Johnson has made the switch north to join Sunderland
Johnson akiwa na jezi ya klabu mpya, Sunderland


Sunderland imekamilisha usajili wa pauni Milioni 10 wa winga wa England, Adam Johnson na mshambuliaji wa Scotland, Steven Fletcher anatarajiwa kuanza kuichezea klabu hiyo ya Stadium of Light dhidi ya Reading leo, kocha Martin O’Neill akiwa ametumia kiasi cha pauni Milioni 22 ndani ya saa 24.

Post a Comment

Previous Post Next Post