ADAM JOHNSON ATUA SUNDERLAND, FLETCHER AANZA KAZI LEO

Johnson akiwa na jezi ya klabu mpya, Sunderland
Sunderland imekamilisha usajili wa pauni Milioni 10 wa winga wa England, Adam Johnson na mshambuliaji wa Scotland,
Steven Fletcher anatarajiwa kuanza kuichezea klabu hiyo ya Stadium of
Light dhidi ya Reading leo, kocha Martin O’Neill akiwa ametumia kiasi
cha pauni Milioni 22 ndani ya saa 24.
إرسال تعليق