AKUFFO, OCHIENG WALIVYOMWAGA WINO MSIMBAZI JANA
![]() |
Mjumbe wa Kamati ya
Usajili ya Simba SC, Mohamed Nassor (kushoto) akimshuhudia mshambuliaji mpya wa
klabu hiyo, Daniel Akuffo akisaini mkataba wa kuichezea klabu hiyo.Picha na:- http://bongostaz.blogspot.com/
|
![]() |
Mjumbe
wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Mohamed Nassor (kushoto) akimshuhudia
beki mpya wa klabu hiyo, Paschal Ochieng akisaini mkataba wa kuichezea
klabu hiyo.
|
![]() |
| Ochieng kulia na Akuffo kushoto |



إرسال تعليق