BAADA YA KUTOA " VIDEO YA X " AKIWA NCHINI KENYA, RAY C AKIRI KUCHOSHWA NA MAISHA YA USELA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amerejea Bongo na kutangaza kusaka mume huku akiweka wazi vigezo anavyotaka awe navyo.....

Ray C aliyekuwa amejichimbia nchini Kenya, amesema mwanaume atakayeweza kupata penzi lake anatakiwa kuwa na elimu ya kawaida, maendeleo, asiwe mwanamuziki wala pedeshee, awe na mvuto na mwenye kuyajua vizuri mapenzi.

Mwanadada huyo  ameongeza kuwa mwenye sifa hizo akipatikana, atamzalia watoto wawili na kujenga naye familia bora kwani amechoshwa na maisha ya usela.......

Kuchoshwa  kwa  MAISHA  YA   USELA   kunakuja  baada   ya  Ray  C  kutoa mkanda wa  ngono   na  kundi  kadhaa la  wanaume.......Namaanisha  wanaume  na  siyo   mwanaume  mmoja

"It is not just another pornographic CD. This is a celebrity filmed having sex with different men.."   Maneno  hayo nimeyanukuu kutoka  mtandao  mmoja  wa  kikenya   uliotoa  ripoti   juu ya uchafu  huo  na jinsi alivyo  iaibisha  Tanzania akiwa  nchini Kenya.
Cd  hizo  ambazo  zilisambaa  kwa  kasi sana  nchini  Kenya  zilikuwa  zinauzwa  Sh.  15000  za Kikenya kwa  kila moja....


"Copies of the sexual CD are selling in Nairobi. An authoritative report from our snitch who happens to be Ray C’s old friend-turned-rival disclosed to us that a copy of the CD is going for as much as Sh15,000".....

Najiuliza, Ni nani aliye  tayari  kuoa  mcheza  X?  Kwani  wamekwisha?.....

Huu ni mtazamo  wangu.   Nawatakia kila la  heri  mlio  tayari


VYANZO:

Post a Comment

Previous Post Next Post