![](http://1.bp.blogspot.com/-hLdZLX6qp1c/UDJKq03CVfI/AAAAAAAAGK8/7QeRjUK2KME/s1600/RAY+C4.jpg)
MSANII
wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amerejea
Bongo na kutangaza kusaka mume huku akiweka wazi vigezo anavyotaka awe
navyo.....
Ray
C aliyekuwa amejichimbia nchini Kenya, amesema mwanaume atakayeweza
kupata penzi lake anatakiwa kuwa na elimu ya kawaida, maendeleo, asiwe
mwanamuziki wala pedeshee, awe na mvuto na mwenye kuyajua vizuri
mapenzi.
Mwanadada huyo ameongeza kuwa mwenye sifa hizo akipatikana, atamzalia watoto wawili na kujenga naye familia bora kwani amechoshwa na maisha ya usela.......
Kuchoshwa kwa MAISHA YA USELA kunakuja baada ya Ray C kutoa mkanda wa ngono na kundi kadhaa la wanaume.......Namaanisha wanaume na siyo mwanaume mmoja.
"It is not just another pornographic CD. This is a celebrity filmed having sex with different men.." Maneno hayo nimeyanukuu
kutoka mtandao mmoja wa kikenya uliotoa ripoti juu ya uchafu
huo na jinsi alivyo iaibisha Tanzania akiwa nchini Kenya.
Cd hizo ambazo zilisambaa kwa kasi sana nchini Kenya zilikuwa zinauzwa Sh. 15000 za Kikenya kwa kila moja....
"Copies of the sexual CD are selling in Nairobi.
An authoritative report from our snitch who happens to be Ray C’s old
friend-turned-rival disclosed to us that a copy of the CD is going for
as much as Sh15,000".....
Najiuliza, Ni nani aliye tayari kuoa mcheza X? Kwani wamekwisha?.....
Huu ni mtazamo wangu. Nawatakia kila la heri mlio tayari
VYANZO:
>> MASHADA
إرسال تعليق