![]() |
Nicklas Bendtner anaondoka Arsenal kuelekea Juventus |
![]() |
Danny Rose |
Kiungo wa
Tottenham, Jermaine Jenas hatamfuata Danny Rose Sunderland, baada ya
beki huyo wa pembeni, Rose kujiunga na Black Cats kwa mkopo wa msimu
mmoja. Martin O'Neill amekubali kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa
miaka 29, Jenas huku uhamisho wa jumla ukifanyiwa kazi.

إرسال تعليق