COASTAL UNION YAPIGWA 1 - 0 DHIDI YA POLISI MOROGORO
Kikosi cha timu Coastal Union kilichoanza
|
POLISI
Morogoro imeibamiza Coastal Union ya Tanga 1-0,. kwenye Uwanja wa
Jamhuri mjini Morogoro. Bao hilo pekee, lilitiewa kimiani Mokili Rambo
dakika ta 80.
Mechi
hiyo ilikuwa ni maalum kwa timu zote kuvipima vikosi vyake kabla ya
kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bata.
Katika
mchezo huo, vikosi vilikuwa: Polisi Moro; Said Manzi,Nahoda Bakary,John
Bosco,Hamisi Mamiwa, Abdallah Rajab,Salmin Kiss, Admin Bantu, Pascal
Maige, Abdallah Juma, Mokili Rambo na Keneth Masumbuko
Coastal union; Jackson
Chove,Mbwana Bakary, Juma Jabu, Jama Macheranga, Philip Metusela,
Hamisi Shengo, Pius Kisambile, Razak Khalfan, Nsa Job, Suleiman Kassim
'Selembe' na Atupele Green.
Kikosi Polisi kilichoanza
Kipute
Kipute
Kipa wa Polisi, Saidi Manzi akiokoa moja ya hatari langoni mwake
Suleiman 'Salembe' akitafuta mbinu za kuwatoka Polisi
إرسال تعليق