FFU WASAMBAZWA MITAANI KUZUIA MKUTANO WA CHADEMA IRINGA
Hisia0
askari
wa FFU mkoani Iringa wakiwa wametanda eneo la uwanja wa
Mwembetogwa ambalo Chadema ilipanga kufanyia mkutano wake leo wa
kitaifa
Mkuu wa FFU mkoa wa Iringa afande Mnunka akiwa eneo la uwanja wa Mwembetogwa kuzuia mkutano wa Chadema
Mfanyabiashara
eneo hilo la Mwambetogwa akihamisha bidhaa zake kukwepa shari eneo
hilo ambalo limetangazwa kuwa ni eneo la hatari na FFU: Picha na
Francis Godwin Blog-Iringa
إرسال تعليق