HUU NDIO UJUMBE ALIOUTOA MAICON BAADA YA KUSAJILIWA NA MAN CITY/PIA INTERVIEW YAKE YA KWANZA ALIYOFANYIWA HII HAPA(MAELEZO/VIDEO)
Hisia0
Maicon akiwa na jezi ya Man City
Kocha wa
Manchester City, Roberto Mancini amemnasa beki wa kulia wa Inter Milan,
Maicon kwa dau la pauni Milioni 3. Usajili wa beki huyo Mbrazil ilikuwa
moja ya malengo makuu ya Mancini kabla ya kufungwa kwa dirisha la
usajili.
إرسال تعليق