
Prince
Hary wa Uingereza amepewa ofa ya dola milioni 10 ili aigize kwenye
filamu ya wakubwa iliyopewa jina la 'The Trouble With Harry' iliyotokana
na picha zake za uchi zilivuja mtandaoni wiki iliyopita jijini Las
Vegas , Marekani weekend iliyopita, (17.08.12).

Mwanzilishi
wa kampuni ya Vivid Entertainment, Steve Hirsch ameiandikiabarua ikulu
ya kifalme ya Uingereza mjini London kuelezea ofa hiyo itakayomwonesha
Harry akipigana mikasi yake.


Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Steve ameandika: "We assure you the sex will be well-scripted, and the crown jewels will not be 'minimized' in any way."
إرسال تعليق