KAZI ALIYOKUA ANAIFANYA FID Q KABLA YA KUANZA MZIKI HII HAPA.
![](http://1.bp.blogspot.com/--5zed08fkeI/UDT9VFn367I/AAAAAAAALLo/DHvxe3DO3uU/s400/1.jpg)
Wengi
tunapenda sana kufahamu mambo yanayowazunguka watu maarufu, ikiwa ni
pamoja na historia ya maisha yao...leo hii nipo na Fid Q ambae ameeleza
kazi aliyokuwa akiifanya kabla hajajiingiza katika fani ya mziki wa
hiphop.
"nilikua
muelimishaji (active volunteer) @ Rafiki Family...(A help for chemical
dependecy) na kazi yangu ilikua ni kuwa convince drug addicts kacha
madawa y kulevya na kuwapeleka rehabilitation center nikishirikiana na
Doctor Bandia wa Sokoutoure Hospital iliyoko jijini Mwanza."Alisema Fid Q
Endelea kutembelea blog hii uweze kujua historia fupi ya msanii unaemzimia
Habari/ http://djfetty.blogspot.com/
Post a Comment