KAZI ALIYOKUA ANAIFANYA FID Q KABLA YA KUANZA MZIKI HII HAPA.

KAZI ALIYOKUA ANAIFANYA FID Q KABLA YA KUANZA MZIKI HII HAPA.

Wengi tunapenda sana kufahamu mambo yanayowazunguka watu maarufu, ikiwa ni pamoja na historia ya maisha yao...leo hii nipo na Fid Q ambae ameeleza kazi aliyokuwa akiifanya kabla hajajiingiza katika fani ya mziki wa hiphop.
"nilikua muelimishaji (active volunteer) @ Rafiki Family...(A help for chemical dependecy) na kazi yangu ilikua ni kuwa convince drug addicts kacha madawa y kulevya na kuwapeleka rehabilitation center nikishirikiana na Doctor Bandia wa Sokoutoure Hospital iliyoko jijini Mwanza."Alisema Fid Q
Endelea kutembelea blog hii uweze kujua historia fupi ya msanii unaemzimia

Post a Comment

أحدث أقدم