KAZI IMEANZA RASMI KWA MBUYU TWITE LEO JANGWANI


Picha tofauti zikimuonesha beki mpya wa Mabingwa wa Soka wa Kombe la Kagame, Yanga, Mbuyu Twite akijifua na wenzake katika mazoezi ya kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam leo. PICHA ZOTE KWA HISANI YA HABARI MSETO BLOG.
 Twite akipokea maelekezo kutoka kwa kocha wa Yanga Tom Saintfiet

 Twite akipiga 'push-up' katika mazoezi yake ya kwanza akiwa na Yanga jijini Dar es Salaam yaliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Mabibo Dar es Salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post