SINCLAIR ATUA RASMI MAN CITY NA KUANZA KAZI MARA MOJA
Hisia0
Scott Sinclair akiwa na jezi ya Manchester City leo
Manchester City
imekamilisha usajili wa Scott Sinclair mwenye umri wa miaka 23, kutoka
Swansea na winga huyo, atakuwepo kwenye kikosi kitakachoivaa QPR kesho.
Scott Sinclair (katikati) akiwa mazoezini na timu yake mpya, Manchester City
Post a Comment