BENDTNER ATUA JUVE, AFANYIWA VIPIMO VYA AFYA, JENAS, DANNY ROSE NJIA TOFAUTI.

Italian job: Nicklas Bendtner is set to leave Arsenal for Juventus
Nicklas Bendtner anaondoka Arsenal kuelekea Juventus
Nicklas Bendtner amefanyiwa vipimo vya afya leo Juventus kuelekea mpango wa uhamisho wake kutoka Arsenal. Bendtner, alicheza kwa mkopo Sunderland msimu uliopita, na amekuwa akitafuta njia ya kutokea Emirates tangu kutua kwa Lukas Podolski na Olivier Giroud. Juve ilirejesha nia ya kumsajili Bendtner baada ya kumkosa mshambuliaji wa Manchester United, Dimitar Berbatov. Muda huo huo

Loan star: Danny Rose will spend the season with Sunderland
Danny Rose
Kiungo wa Tottenham, Jermaine Jenas hatamfuata Danny Rose Sunderland, baada ya beki huyo wa pembeni, Rose kujiunga na Black Cats kwa mkopo wa msimu mmoja. Martin O'Neill amekubali kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29, Jenas huku uhamisho wa jumla ukifanyiwa kazi.
 All off: Jermaine Jenas will not be moving north to join Sunderland
Jermaine Jenas

Post a Comment

Previous Post Next Post