KITAA KINALALAMIKA VIDEO YANGU HAIKUTENDEWA HAKI SASA NAISHOOT UPYA "TUNDA MAN"
Nilipofika eneo hilo alilokuwa akishoot maeneo ya Kijitonyama Sayansi aisee nilikutana na vyombo hatariiiii nazungumzia wasichana ambao wataonekana wakicheza katika video hiyo, stay tune ujionee mwenyeweeeee
Vijana kutoka AM Rec nao walikuwepo kumpa tafu mshkaji wao katika video hiyo
إرسال تعليق