
Unaikumbuka
blog ya Ze Utamu ilivyokuwa maarufu enzi hizo? Kama ingekuwepo hadi
leo tunaamini ingekuwa blog inayosomwa pengine kuliko zote nchini.
Bahati
mbaya ama nzuri blog hiyo ilifungwa kitambo na mmiliki kukiona cha
mtema kuni baada ya polisi wa kimataifa kumkamata na Mungu ndio anajua
mtu huyo yuko wapi sasa hivi.
Lakini
sasa hivi wakati ambao mitandao ya kijamii kama Facebook imejipatia
umaarufu nchini, kuna makundi ama kurasa zimefunguliwa na kujipatia
umaarufu mkubwa.
Kurasa
hizo hazina tofauti sana na yaliyokuwa maudhui ya blog ya Ze Utamu.
Kile kinachoandikwa na picha zinazowekwa ni za ngono zaidi.
Picha
nyingi zinazoonekana ni za wanawake walionusu uchi ama uchi kabisa
ambazo nyingi zimekuwa zikipata maoni mengi kutoka watu waliojiunga na
kurasa hizo.
Kwa
sasa kurasa hizo za ngono zimekuwa maarufu kiasi cha kuanza kuzizidi
hata zile zinazozungumzia masuala ya muhimu kama vile siasa nk.
Ni
ukweli usiopingika kuwa ngono huvuta hisia za wengi, lakini swali ni
Je! Kuongezeka kwa umaarufu wa makundi haya kwenye mtandao wa Facebook
ambao lengo lake lilikuwa ni kuwakutanisha marafiki na jamaa na kufahamu
mengi yanayoendelea katika maisha na pia makampuni makubwa yakiutumia
mtandao huo kama njia ya kuwasiliana na wateja, kunaifanya Facebook iwe
mtandao usio na maadili kuliko mingine kama Twitter?
Je huu ni mwanzo wa mtandao huo kuchimbiwa kaburi na watumiaji wake?
1. Jicho la Mvulana liko Fasta kuliko Google Pale linapo search Msichana.
Maelezo: Katika mwili wako wote ,.. jaribu sana kulitunza Jicho.
Likes 12,566
2. Bongo Hotties (Hot o Not)
Maelezo: Feel free to inbox us if u want ur pic 2 b posted here.. Only Hotties
Likes 10,196
3. Universal Tanzanian jokes
Maelezo: it's all about jokes and nude photos
Likes 9,703
4. YaNi UtAmU UnAkUjA . YaNi UtAmU UnAkAtA
Likes 7,713
5. Kijiwe Cha Story Za Wakubwa
Likes 7,058
6. Karibu Upate Utamu
Likes 1,713
7. Malaya Sinza
Maelezo: KARIBU UCHAT NA MIMI NA UJUE MAMBO MENGI YA KIMAISHA HASA YANAYOHUSU STAREHE.
JIPATIE HUDUMA ZIFUATAZO:
1. Kujua njia mbalimbali za kufanya mapenzi
Chanzo:- Mpekuzi blog
إرسال تعليق