LIVERPOOL YAPIGWA 3 BILA DHIDI YA WEST BROM

LIVERPOOL YAPIGWA 3 BILA DHIDI YA WEST BROM

Hit man: Zoltan Gera opens the scoring with a thunderbolt
Zoltan Gera akifunga bao la kwanza
West Brom imeifunga Liverpool iliyocheza pungufu ya mchezaji mmoja katika mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu, kwenye Uwanja wa Hawthorns, mabao ya Zoltan Gera, Peter Odemwingie kwa penalti na Romelu Lukaku anayecheza kwa mkopo, yaliyomzima kocha mpya wa Wekundu wa Anfield, Brendan Rodgers.
Smasher: West Brom's Zoltan Gera (left) celebrates
Zoltan Gera (kushoto) akishangilia

Cool head: Peter Odemwingie scores their second goal from the penalty spot
Peter Odemwingie akifunga la pili kwa penalti
Tussle: Liverpool's Lucas Leiva challenges James Morrison of West Brom
Lucas Leiva wa Liverpool akichuana na James Morrison wa West Brom
Liverpool manager Brendan Rogers
Mwanzo mbaya kwa kocha wa Liverpool, Brendan Rogers


VIKOSI

West Brom: Foster, Reid, McAuley, Olsson, Ridgewell,Morrison (Brunt 82), Yacob, Mulumbu, Odemwingie, Long (Lukaku 68),
Gera (Fortune 68). Subs Not Used: Myhill,El Ghanassy, Jara Reyes, Dawson.
KADI YA NJANO: Fortune.
MABAO: Gera 43,Odemwingie 64 pen,Lukaku 77.

Liverpool: Reina, Kelly, Skrtel, Agger, Johnson, Lucas (Cole 68), Allen, Gerrard, Downing (Carragher 60), Suarez, Borini, Cole (Carroll 79). Subs Not Used: Jones, Henderson, Adam, Shelvey.
KADI NYEKUNDU: Agger (58).
NJANO: Johnson, Suarez, Lucas, Carroll.
MAHUDHURIO: 26,039

REFA: Phil Dowd (Staffordshire). 

Post a Comment

Previous Post Next Post