LIVERPOOL YAPIGWA 3 BILA DHIDI YA WEST BROM
Zoltan Gera akifunga bao la kwanza |
West Brom
imeifunga Liverpool iliyocheza pungufu ya mchezaji mmoja katika mchezo
wake wa kwanza wa Ligi Kuu, kwenye Uwanja wa Hawthorns, mabao ya Zoltan
Gera, Peter Odemwingie kwa penalti na Romelu Lukaku anayecheza kwa
mkopo, yaliyomzima kocha mpya wa Wekundu wa Anfield, Brendan Rodgers.
Zoltan Gera (kushoto) akishangilia
Peter Odemwingie akifunga la pili kwa penalti
Lucas Leiva wa Liverpool akichuana na James Morrison wa West Brom
Mwanzo mbaya kwa kocha wa Liverpool, Brendan Rogers
VIKOSI
West Brom: Foster, Reid, McAuley, Olsson, Ridgewell,Morrison (Brunt 82), Yacob, Mulumbu, Odemwingie, Long (Lukaku 68),
Gera (Fortune 68). Subs Not Used: Myhill,El Ghanassy, Jara Reyes, Dawson.
Gera (Fortune 68). Subs Not Used: Myhill,El Ghanassy, Jara Reyes, Dawson.
KADI YA NJANO: Fortune.
MABAO: Gera 43,Odemwingie 64 pen,Lukaku 77.
Liverpool: Reina,
Kelly, Skrtel, Agger, Johnson, Lucas (Cole 68), Allen, Gerrard, Downing
(Carragher 60), Suarez, Borini, Cole (Carroll 79). Subs Not Used:
Jones, Henderson, Adam, Shelvey.
KADI NYEKUNDU: Agger (58).
NJANO: Johnson, Suarez, Lucas, Carroll.
MAHUDHURIO: 26,039
REFA: Phil Dowd (Staffordshire).
REFA: Phil Dowd (Staffordshire).
إرسال تعليق