MAANDALIZI YA SERENGETI FIESTA 2012, BABRA, DJ FETY NA MBWIGA WAPENDEZESHA USIKU WA CLOUDS FM 88.1 MWANZA. Picha Na:- http://djfetty.blogspot.com
![]() |
Ni ming'aro ile Bhaaaaaaas!! pande hizi za Mwanza - Mwanza kutoka kushoto waliosimama ni Mie, Mbwiga wa Mbwiguke na Emmanuel likuda Producer wa Jahazi na Serengeti Fiesta Mwanza na aliyeketi ni Babra Hassan. |
![]() |
Smile.com zetu ndani ya Studio za Clouds Fm Mwanza. Kutoka kushoto ni Peter Fabian, Emmanuel Likuda, Mbwiga na Babra. |
![]() |
Bigu-bigu-bigula Style...(pikipiki) |
![]() |
Raha jimwagie..... |
![]() |
Mbwiga wa Mbwiguke akitimbwilika ndani Clouds 88.1 Mwanza kuelekea Serengeti Fiesta 2012 itakayofanyika ndani ya dimba la CCM Kirumba siku ya Jumapili ya tarehe 2/09/2012 kwa chati akinukuliwa na producer wa Jahazi na Serengeti Fiesta Mwanza Emmanuel Likuda. |
![]() |
Hapa kilichokuwa kikiongelewa mie sisemi....hahahhaaaaaaaa mbwiga ni noumer kwa maneno |
إرسال تعليق