CHICHARITO AMKIMBIA VAN PERSIE MAN UNITED
AC MILAN YASAJILI BINTI WA MIAKA 10
AC Milan imemsajili binti wa umri wa miaka 10 kutoka East
Dunbartonshire, baada ya kuwavutia wasaka vipaji wa klabu hiyo huko La
Manga.
Habari kamili: The Metro
Kiungo wa zamani wa Arsenal, Ray Parlour anaamini kuuzwa kwa Robin van
Persie kunaonyesha Arsenal haiwezi tena kushindana na klabu kubwa.
Habari kamili: talkSPORT
Sunderland imeanza
mazungumzo na mchezaji huru Louis Saha, mwenye umri wa miaka 34, huku
majadiliano mengine na Wolves yakiendelea kuhusu Steven Fletcher.
Post a Comment