KINDA LA UFARANSA LAZIRUKA ARSENAL, AC MILAN, SPURS KUELEKEA EVERTON

Chelsea imeiambia Barcelona kwamba beki David Luiz hauzwi kwa bei yoyote.
Mchezaji wa Middlesbrough, Marvin Emnes na Tom Ince wa Blackpool wanatakiwa sana na Swansea City.
OBI MIKEL AIPA UBINGWA CHELSEA LIGI KUU
Kiungo wa Chelsea, John Obi Mikel anaamini mbio za ubingwa wa
Ligi Kuu zitakuwa ngumu msimu huu lakini amesistizaThe Blues wanaweza
kuibuka mabingwa.
Theo Walcott yupo kwenye mazungumzo na Arsenal juu ya mkataba mpya wa miaka mitano kuendeleea kuishi Emirates.
Habari kamili: Daily Mirror
Mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez amesema kwamba yupo katika timu nzuri, ingawa ana hasira uwanjani.
Habari kamili: Guardian
إرسال تعليق