MAISHA MAPYA BILA VAN PARSIE YALIKUWA HIVI(PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZILIZOHEZA LEO)
Arsenal
imeanza maisha mapya bila Robin van Persie kwa kulazimishwa sare ya bila
kufungana na Sunderland kwenye Uwanja wa Emirates.
Arsenal ilitawala mchezo lakini haikupata bao
VIKOSI
ARSENAL: Szczesny, Jenkinson, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs, Diaby, Arteta, Cazorla, Walcott, Gervinho, Podolski.
Benchi: Mannone, Andre Santos, Giroud, Ramsey, Djourou, Coquelin, Arshavin.
SUNDERLAND: Mignolet, Gardner, Cuellar, O’Shea, Richardson, Larsson, Colback, Cattermole, McClean, Sessegnon, Campbell.
Benchi: Westwood, Wickham, Kilgallon, Meyler, Bramble, Saha, Elmohamady.
Refa: Chris Foy (Merseyside)
Lukas Podolski kazini
Abou Diaby, Gervinho na Santi Cazorla
Theo Walcott
Sebastian Larsson,
Jack Colback
إرسال تعليق