MAN CITY 3-2 SOUTHAMPTON

Mshindi wa mechi: Samir Nasri (katikati) akishangilia kuifungia bao la ushindi Manchester City.

Mchezaji wa Southampton, Nathaniel Clyne (kushoto) akiteleza kuondosha mpira miguuni mwa Sergio Aguero wa Man City

Maimibu: Aguero akigulia maumivu ya goti baada ya kuanguka


PENATI ILIYOOTA MBAWA: David Silva alipoteza penalti iliyookolewa

Bao la kuongoza: Carlos Tevez akimtungua Kelvin Davis kuifungia bao la kwanza City dhidi ya Southampton


Mruko wa furaha: Tevez akishangilia kuifungia bao la kwanza City

Jembe jipya: Jack Rodwell aliichezea mechi ya kwanza Manchester City dhidi ya Southampton

Furaha ya bao: Southampton wakishangilia bao la kusawazisha lililofungwa na Rickie Lambert dhidi ya Manchester City


Kosa moja
bao moja: Rodwell (juu) akijutia kosa lake, ambalo lilimpa nafasi
Steven Davis kuifunga (pichani) kufunga bao analoshangilia

Bao la kusawazisha: Edin Dzeko akiifungia City la kusawazisha

SOURCE: http://www.dailymail.co.uk
TAKWIMU
VIKOSI;
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Lescott, Clichy, Silva (Balotelli 72), Rodwell, Toure, Nasri, Aguero (Dzeko 14), Tevez (Kolarov 87)
BENCHI: Pantilimon, Milner, Savic, De Jong
MABAO: Tevez dk40, Dzeko dk72, Nasri dk80
NJANO: Nasri
Southampton: Kelvin Davis, Clyne, Fonte, Hooiveld, Fox, Ward-Prowse (Steven Davis 65), Lallana, Schneiderlin, Puncheon (Sharp 86), Rodriguez (Lambert 55), Do Prado
BENCHI: Gazzaniga, Richardson, Shaw, Seaborne
MABAO: Lambert 59, Davis 68
NJANO: Fox, Schneiderlin
REFA: Howard Webb (S Yorkshire)
MAHUDHURIO: 46,190
إرسال تعليق