Manchester City inajipanga kuanza rasmi harakati za kumsajili
kwa dau la pauni Milioni 20, kiungo wa kimataifa wa Roma, Daniele De
Rossi, mwenye umri wa miaka 29.
Robin van Persie bado hayuko tayari kurejea Arsenal, baada ya
Manchester United, Manchester City na Juventus kupunguza harakati zake
za kutaka kumsajili mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28.
Post a Comment