MAN UNITED YAAN ZA LIGI

Robin van Persie amefunga bao lake la kwanza Manchester United jioni hii
wakati Mashetani hao Wekundu wakiichapa 3-2 Fulham kwenye Uwanja wa Old
Trafford.
Mabao matatu ya kipindi cha kwanza kutoka kwa van Persie, Shinji Kagawa
na Rafael yaliwapa ushindi wa kwanza ndani ya mechi mbili United.
VIKSI, KADI (1) & MABADILIKO (6)
Manchester United
- 01 De Gea
- 02 Rafael
- 03 Evra
- 15 Vidic
- 07 Valencia
- 08 Anderson (Giggs - 81' )
- 16 Carrick
- 18 Young (Welbeck - 68' )
- 23 Cleverley
- 26 Kagawa (Rooney - 68' )
- 20 Van Persie
BENCHI
- 13 Lindegaard
- 06 Evans
- 11 Giggs
- 22 Scholes
- 10 Rooney
- 14 Hernandez
- 19 Welbeck
Fulham
- 01 Schwarzer
- 05 Hangeland Booked
- 17 Briggs
- 18 Hughes
- 27 Riether
- 16 Duff
- 19 Diarra (Baird - 81' )
- 31 Kacaniklic (Sidwell - 62' )
- 10 Petric (Rodallega - 72' )
- 11 Ruiz
- 30 Dembele
BENCHI
- 13 Stockdale
- 02 Kelly
- 06 Baird
- 32 Halliche
- 07 Sidwell
- 08 Kasami
- 20 Rodallega
REFA: Friend
MAHUDHURIO: 75,352
TAKWIMU ZA MECHI
Possession43%57%99minsManchester UnitedFulham
MATOKEO MECHI NYINGINE
Swansea 3 - 0 West Ham FT
Aston Villa 1 - 3 Everton FT
Norwich 1 - 1 QPR FT
Southampton 0 - 2 Wigan FT
Sunderland P - P Reading
Tottenham 1 - 1 West Brom FT
Post a Comment