MUSSA MGOSI KUKIPIGA JKT RUVU
MSHAMBULIAJI
wa Tanzania aliyekuwa anakipiga katika klabu ya DC Motema Pembe ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC, Mussa Hassan Mgosi, anatarajiwa
kuichezea timu ya JKT Ruvu katika msimu ujao wa ligi Kuu Bara
unaotarajiwa kuanza Septemba Mosi.
Mgosi
aliyekwenda huko kucheza soka la Ridhaa akitokea klabu ya Simba
amesajiliwa kwa maafande hao ambao aliwahi kuichezea zamani kwa mkataba
wa miaka miwili.
إرسال تعليق