
Pipi na Nikki wa II kwenye making the video ya kiujamaa.
Kupitia millardayo.com mastaa kadhaa wamesikika wakiiongelea hii ishu ambapo asilimia 90 wamekataa kwamba hawawezi kuweka.
Mtu mpya kuongea nae kuhusu hili ni rapper Nikki wa II ambae namkariri akisema “kwa mimi naona haina umuhimu lakini pia kama ni mtu maarufu na una hela nyingi unasupport uchumi wa nchi yako kwa hiyo hiyo milioni tano yako unaweza kuitoa na kwa kulipia kwako kuna watu watapata huduma za Afya, maji na mengine kwa sababu ya hiyo kodi”

Hili
ni moja kati ya magari ya watanzania yaliyoandikwa majina badala ya
namba, ni la Davis Mosha aliekua kiongozi wa Yanga. hii ni picha ambayo
ilisambaa kwenye website na blogs mbalimbali Tanzania wakati wa uchaguzi
wa Yanga.
Post a Comment