Rais Kikwete akutana na Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai

Rais Kikwete akutana na Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha  Waziri Waziri Mkuu wa Zimbabwe Bwana Morgan Tsvangirai ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Baadaye Bwana Tsvangirai aliondoka kurejea nchini kwake(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Waziri Mkuu wa Zimbabwe Bwana Morgan Tsvangirai ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Baadaye Bwana Tsvangirai aliondoka kurejea nchini kwake(picha na Freddy Maro)

Post a Comment

أحدث أقدم